Haja Ndogo!
>> Thursday, September 20, 2007
Haja ni haja!
Nani kasema haja ndogo , udogo si neno
Haja ndogo na kubwa ni maneno
Umuhimu wake haupimiki kwa neno
Haja hupindisha msumeno
Msumeno uwekao butu meno
Haja kubwa na ndogo  si neno
Ni kitendo kiwakilishwacho na neno
Lakini sauti  upatiwazo katika uroda ni maneno.
Yasemayo hufiki, unafikia au naumia kutokana  na yako meno.
Kuuma na kupulizia huhitaji nanihino
Lakini haja kubwa au ndogo  huhitaji maneno
Ingawa chooni bado panono
Kama unahaja...
pata hata kama siye hautatupatia neno
........................................
Usistuke usiponielewa!
Nakuacha na Erykah Badu na Blues Brothers Band
 
  
 Posts
Posts
 
 




2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hahahahaha! Nice one!
Sauti za kwenye kungonoana(Uroda) sometimes au niseme kabla hujakolea huwa sio maneno ni sauti za jabu-ajabu tu ila ikikokiwa ndio hapo utakapo patiwa mashairi sasa.....alafu unamalizia na sauti za ajabu-ajabu tena kabla ya kurudi Duniani.
Kazi bomba Si!
@Dinah!DUH! ....:-)
Post a Comment