Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

ASILIMIA ya UKWELI kwa kitu mtu afikiriacho ni KWELI;......

>> Wednesday, August 11, 2010

... mara nyingi KINAWEZA KUELEZEWA kwa kutumia mfano WA JINSI  mtu afikiriavyo NI KWELI  hana hajakubwa wakati anatembea kwa maringo ,.....
..... kwa kuwa tu ETI hajabanwa hajakubwa.:-(

Swali:
  • SI unakumbuka labda kwa MTU labda mavi yapo hata kama ni kweli HAJABANWA choo?
  • Uongo si ni kweli ni UONGO kwa hiyo UONGO labda ni UKWELI?

Ukweli ,....
......labda ni UKWELI pale tu kabla hujastukia uongo wake na ndio MAANA MPAKA  hata imani ziko nyingi na zote ni za kweli kwa aaminiye kwa kuwa  kwa KUAMINI  KITU labda ni kukiri KWA MTU  kuwa bado hajastukia DANGANYATOTO kitu.:-(



Na  labda UONGO ni KWELI,....
..... kama ni kweli ni UONGO.:-(

NI WAZO TU HILI MKUU na RUKSA kulitemea koozi kama halipandi mukichwa!:-(

Hebu turudi HAITI  tena  ili Sweet Micky arudie ndude -Ou lala


Au tu tubaki tu hapahapa Haiti Michel Martelly aka Sweet Micky adunge na ndude -Cocorico



Na labda  tupitie tu tena Congo Tabu LEY alete ya kishtobe - Jolie Elie

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP