Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WASIWASI wa ambaye hana GOVI kutokana na MAFANIKIO ya utundu wa kukatwa JANDO!:-(

>> Wednesday, August 18, 2010

Kama DUME ZIMA umetahiriwa aka UMEKATWA JANDO kama mimi ,...
..... hata ubishe ni kweli chako kionjea ukahaba kimekatwa.:-(


Na kwa bahati mbaya JANDONI za siku hizi  za hospitalini zitumikazo kuleta utumishi  wa kupunguza kipengele bila MAFUNZO ambazo labda wewe unazishuhudia kama mimi,....
.... LABDA ni kitu ambacho  ni ushahidi  WA KWELI  kwa asiyejua kukuna kipengele KAMA TU AJUAYE KUKUNA KIPENGELE  kuwa  labda shule yake ya MKUNO kuna kitu  imekatwa.:-(


Swali:
  • Unabisha?


Na unaweza kunibishia,....
....kwa kuwa ni kweli  KUKATWA GOVI na mpaka KUKEKETWA KWA MABINTI dhumuni lake halikuwa kuondolewa  TU katika KICHUGUU cha KUONJEA  baadhi ya  eneo la KUONJEA.:-(


Unaweza KUBISHA,....
.... lakini  ukifuatilia histori ya KUKATWA NGOZI YA KIPARA au tu  kwa wanawake kukatwa KIPELE  CHA KUNAKO  utastukia  SHUGHULI NZIMA iliendana na MAFUNZO ya mpaka  KUNANIHII ingawa yalilalia zaidi mpaka kwenye jinsi ya kuishi na LIMCHUMBA LAKO VIZURI  ,  staili ya kulizalisha/KUZALISHWA , staili ya kumwambia ANANUKA.... ingawa NDIO, ... pia shule ilifunza mpaka jinsi ya kukitunza KIFAA ili uwe na kifaa madhubuti cha MPENZI kumuonjea.:-(

Swali:
  • Unabisha?



Wakati kuna wanaharakati WAPIGAO VITA kukeketa MADEMU zaidi ya hata ya KUPIGA VITA YA KUTUNZA    ngozi ya KIPARA cha  KIDUME , .....



,,,,,umewahi kujiuliza ni kwanini kuna mashujaa waendelezao SHUGHULI HIII  kwa nguvu zote hata kama  kwa mtazamo wako SHUGHULI HIII sio ya KIPROFESA au KIBISHORORO inalipa aka ni MZUKA?
Swali:

  • ........?

Ndio,.....
.... kama huna govi LABDA  NI KWELI  baadhi ya eneo lako la kupapasa sehemu za siri za ASHURA kwa ndani  NI KWELI zimekatwa.:-(


Ndio,...
.... kama umekatwa na staili za KUONJA au tu kumtunza mpenzi wako kwa KUMRIDHISHA hujui basi weye kona zote za SHUGHULI  jihadhari nazo kwa kuwa labda katika makali zote ZIMEKATWA.:-(




NI WAZO tu hili MHESHIMIWA na wala usibanwe chupi kama hukubaliani NALO.:-(





Ngojea SHOW OFF wabadili mtazamo kwa kidude-`li fe Cho



Au hebu tu Don Carlos arudie sindimba -Ride on Christine



Au tu Don Carlos aendelee kukuna kipele kwa pambio-Lazer Beam



Nipo!:-(

Photobucket


Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket





Photobucket





Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket




Photobucket

Photobucket




Photobucket

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:06 pm  

mmmhh! kumbukumbu nzuri sana Mt.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP