Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NIKILEWA , labda wewe kirahisi tu ni MZURI!:-(

>> Wednesday, August 18, 2010





KUMBUKA tu ,...
..... katika KULEWA,....
.... kuna walewao mpaka DINI!:-(

Swali:
  • Unabisha?



NI HILO tu Mheshimiwa na hili ni WAZO TU !:-(



Hebu GNARLS BARKLEY washushe kitumbua - WHO'S GONNA SAVE MY SOUL





SADE alainishe kipengele kwa-By Your Side




Au tu SADE arudie kidude-Sweetest TABOO




Au TU tumalize tu kipengele kwa kudeku Gnarls Barkley  wakishusha kitu - Crazy







Ndio nilikuwepo MEI MOSI Morogoro:-(

Photobucket





Photobucket





Photobucket





Photobucket





Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket





Photobucket





Photobucket




Photobucket





Photobucket







Photobucket





Photobucket




Photobucket

Ndio,...
....hakuna picha za MHESHIMIWA akitoa hotuba kwa kuwa KUNAUWEZEKANO nilikimbilia baa kabla ya HOTUBA kumwagwa.:-(

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 10:12 am  

Kulewa ni kupumbaa kwa akili,na kunaweza kukafanya mtu alemae kimawazo!
Ndio kuna wanaolewa madaraka, kuna wanaolewa pombe na kuna wanaolewa maisha. Wanapumbazika na hali wali nayo nakujiona hivyo wanavyozani kuwa ndivyo kumbe inawezekana sivyo.
Unapolewa hakuna wakukubabaisha, unajisahau kuwa ulevi utakwisha na wewe utarejea katika hali ya kawaida, je ukikumbuka , au kukumbushwa uliyofanya utasemaje, utatahayari, na mwisho wa siku unaumbuka!
Sasa mtu wa dini analewa nini tena, analewa neno la mungu, na kujisahau kuwa dunia ipo?
Ni kuzuri huko? sijui?

Yasinta Ngonyani 11:07 am  

Kuchafua akili sio!! haya hapa ipo kazi:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP