NI kweli MBWA anajua kumnusa demu wa KIMBWA na kustukia demu huyo anafaa KUPANDWA ,....
>> Thursday, August 05, 2010
... kuliko BINADAMU astukiavyo hata BINADAMU mwenzio mwenye kikohozi anaweza wakati wowowte KUBANJA.:-(
Swali:
- AU?
Katika kunusa ,....
.... tunajua NGURUWE na MBWA wana pua kali kuliko BINADAMU.:-(
Ndio,...
... kuhusu kusikia ,...
... tunajua hata TEMBO na PWEZA wanasikia kuliko awezavyo kusikia BINADAMU.:-(
Na sikubishii MHESHIMIWA ambaye unaweza kustukia mbwa kajamba kwakuwa unanusa,....
.....HASA KAMA wakati unamuona BINADAMU ni kiboko kwa kuwa wewe ni BINADAMU unashindwa kustukia KUNGUNI na chawa wana janja zao hata katika kujificha katika MAVUZI ya MHESHIMIWA MCHAFU HATA SIO SANA ambaye ni binadamu.:-(
Swali:
- UNauhakika BINADAMU ni mjanja KULIKO MINYOO kwa kuwa kuna BINADAMU mwenye BENZI halafu aligundua tumizi la chupi?
- Unauhakika MENDE wajuao JIKO lako MREMBO ni chafu hawana busara za utafutaji maisha kuliko WATANI zangu WACHAGA pale MOSHI stendi?
LAKINI BINADAMU huyohuyo ukimsikiliza ,...
.... kwa kudai yeye ni mtu apendaye amani kwa JINA hata la yesu anaweza kukubwenga kisawasawa ili uelewe AMANI ni nini hutu akimtukania mama yako.:-(NI wazo tu hili MHESHIMIWA lililokaa KI-MAMA KISEBENGO!:-(
Usitishike BISHOOO MHESHIMIWA ni wazo tu hili!:-(Hebu Tabou Combo adinye kitu - Pi Gro Pi Long
Au tu Jean Philippe Marthely adunge ndude - Bèl kréati
Au tu Patrick Saint Eloi akung'ute mkito -Chiré
Na labda tu Jean Claude NAIMRO amalizie KWA ngoma - Ave'w Doudou
AU niache tu baadhi ya picha za juzi ya jana....:-(
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment