Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

IJUMAA NJEMA wajameni!

>> Friday, August 06, 2010

Swali:

  • Unafikiri kuna UKWELI ukilitakia  LIJITU heri ni kweli LIJITU litapata heri?

NDIO,....
..... labda kumtakia mtu HERI  hakuna kibadilikacho zaidi ya kumuandaa MTU  kustukia ya HERI ZAIDI ya ya KIBANO.:-(

NI WAZO TU HILI MKUU!

AU tubadili tu haliya hewa kwa kudeku hii ngoma-Can animals think like humans?

SHOULD U let your man cheat?

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 12:21 pm  

Kutakiana heri inasaidia kupunginguza lijitu kuwa kajitu, mbaya kuwa kabaya

emu-three 3:00 pm  

Nimesema awali nikivuta hatu za kwendamaliwatoni kuwa ni heri kutoa kila-laheri kwa mijitu kwani kufanya hivyo kutalipunguzia ujitu kuwa kajitu.
Hata likiwa lijitu, kama lina mtu, bado litakuwa na utu. Hata kama utu una kutu, bado lipe heri, usahau wake utukutu.

emu-three 3:01 pm  

EDNA 10:45 pm  

Ijumaa njema kwako pia mtakavitu ooooh samahani Mtakatifu.

Simon Kitururu 11:16 pm  

@Emu-three : Sibishi kabisaa!
@Dada Edina: Asante! :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP