Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BLAH blah BLAH! Nyoooooo!blah blah BLAH!

>> Monday, August 23, 2010

Kisikilizwacho au hata kisomwacho chaweza kuwa tu ni:

  • Blah blah BLAH Rais Kikwete kaanguka ....Blah blah blah!


  • Blah blah blah Bi Ashura kakuza tako kwa dawa za mchina BLah blah blah .. na sasa anapata sida kwenda HAJA kubwa blah blah blah!

  • Blah Blah Blah Huzuni ni chanzo cha kusikilizisha MTU upya FURAHA... blah Blah blah!

Swali:
  • Lakini katika BLAH BLAH BLAH si kunauwezekano mtu akaambulia angalau pointi moja ambayo inaweza ikajibu  kama umebanwa choo kiko wapi?
  • Umeshawahi kujiuliza MBWA huwa wanasikia ni nini asemacho BINADAMU  katika stori zake ndefu za BUSARA?


Ndio,...
... kidhaniwacho ni BLAH blah blah kinaweza kuwa ni cha BUSARA,...
.... ingawa chochote MTU asichokielewa kwake huweza kugeuka Blah blah blah.:-(


Ndio,....
... blah blah blah ambayo kweli ni BLAH BLAH BLAH inaweza kujenga mtu busara,....
..... kama anaistukia Blah  blah kuwa ni BLAH BLAH blah.:-(
Swali:
  • SI inasemekana kuna waongeao ya BUSARA  katika KUTONGOZA na WASIOPOE NGOMA na kushangaa wapiga BLAH BLAH BLAH katika mtongozo wakiina na kuinuka wanaokota kwa mtongozo KIDUDE?


Labda jiulize mara mbili,....
.... kwamba udhaniacho  ni BLAH BLAH blah kweli ni blah blah blah  kwa kuwa unadhani ni blah blah blah...

... kwa kuwa  labda wengine sio WAPUMBAVU KAMA UDHANIAVYO kwa kuichukulia hiyo blah blah  kuwa ina UJUMBE MZITO kitu ambacho  kinawafanya  hata wamvulie mtu KIFICHA NYETI wakigawiwa KAULI ambazo kwako ni  Blah blah blah HATA katika MTONGOZO.:-(

NI wazo tu hili MHESHIMIWA na ruksa kulibishia hasa kama halikupandishi mdadi wa kunielewa kwa kuwa WAZO HILI kwako  ni BLAH BLAH BLAH tu !:-(


Hebu tu Harry Belafonte abadili harufu kwa kidude-Jump in the line





Au tu Harry Belafonte arudie ndude-Coconut Woman


Au tu Harry Belafonte amalizie tu kwa kitu- Mama look a booboo

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP