Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KINUKACHO, na kisababishacho HARUFU mbaya ya sehemu za siri za MHESHIMIWA labda havina uhusiano wa moja KWA moja.:-(

>> Sunday, August 29, 2010

Swali:

  • Unadhani CHAKULA na MDOMO vina uhusiano wa MOJA KWA MOJA?


 Turudi katika taralila:




Wakati  umestukia MHESHIMIWA ananuka UCHI,...
... labda ni kweli sio kosa lake ,....


.... kwa kuwa ni kweli PIA kuwa UHESHIMIWA na MHESHIMIWA mwenye uchi labda hawana uhusiano wa moja kwa moja KAMA ufikiriavyo,...
... na labda UCHI wake  MHESHIMIWA hauhitaji kuheshimiwa kama ufikiriavyo,....

....na  labda UHESHIMIWA wa mheshimiwa  MUUZA SURA  ukimnusa sehemu zake  za siri kabla HAJA JI SWAFI  uhakikicho katika ufanyakazi bora wenye hari MPYA labda sio  wa MHESHIMIWA kujiswafi bali ni jinsi tu  vitu vingine kama vile BAKTERIA zisaidiazo hata MHESHIMIWA KUJAMBA  zifanyavyo tu  kazi zao SWAFI.:-(


SWALI:
  •  Si unajua KINUKACHO labda hakina uhusiano wa moja kwamoja na kisababishacho  UCHI  unanuka?

Ndio,...
....katika KUNUKA kuna bomba la DEMOKRASIA;...
...labda ndio maana  yoyote yule mazingira yakilipa atanuka KIKWAPA vizuri tu.:-(




SAMAHANI kwa wazo lililopinda  na ni ruksa kunitukana SHENZI kama  sentensi  ZANGU katika hoja hii zina tako kubwa.:(

Hebu NINA SIMONE abadili swala kwa kuachia ndude -I want a little sugar in my bowl





Nina adunge -FOUR Women




Nina Simone akojoe kisanii- MOOD Indigo




Nina Simone aachie- My baby just cares for me



Nina Simone amalizie kwa ndude-Feeling good



Au tu anyuke hii kitu bomba iitwayo -FEELINGS


Basi bwana labda tu naye  Eric Clapton azime jazba TU  kwa kitu-LAYLA

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP