Wakati WAMAREKANI WEUPE inaaminika wanajua ULAYA kwenye asili yao,.......
>> Thursday, August 12, 2010
.... HEBU tusikilize BAADHI ya WAMAREKANI weusi MAARUFU ,...
....ambao INAAMINIKA wanaweza kujua AFRIKA ni asili yao,....
....ISIKILIZWE WAKATI KISIKILIZWACHO KINAFIKIRIWA kiaina KATIKA KUJIFUNZA wafikiriavyo KIAINA Afrika.
Kumbuka KUFIKIRIA kabla ya HUKUMU ni nini unachoangalia na KUELEWA!:-(
Tuanze na EDDIE MURPHY akiongelea WANAWAKE wa KIAFRIKA
Tubakie kwenye topiki ili baadhi ya miaka ya baadaye JAMIE FOXX aongelee kiania anavyofikiria WANAWAKE WA KIAFRIKA
Au tu tumsikilize Eddie GRIFFIN ajaribu kuelezea kitu katika mkao huohuo katika afikiriavyo WAAFRIKA kinamna katika -BACK TO AFRICA
Au tu Tribe called QUEST walainishe kwa kubadili mkuno kwa ndude -Hot SEX on a PLATTER
NI HILO TU MHESHIMIWA na linahitaji fikira kama umedeku kitu kabla HUJAFURUMUA mkao wa hitimisho la FIKIR!!:-(
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment