Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna walioko HAI wasahauo kuwa WANAHEMA,....

>> Saturday, August 14, 2010




..... na LABDA ingekuwa inabidi  ili KUHEMA inabidi MTU akumbuke KUHEMA,....
......kuna NJEMBA ambazo zingekufa kwa kuwa TU zimesahau KUKUMBUKA kuhema.:-(

Swali:
  • Si inasemekana KUNA WASAHAUO  kuwa BINADAMU wanakunya  mpaka wakumbushwe kwa wao wenyewe kubanwa HAJA KUBWA?


NI WAZO tu hili BINGWA na wala usibanwe chupi MHESHIMIWA kama WAZO LENYEWE hili halikukuni wala kukutekenya FIKIRA!:-(


NIMEACHA!

Lakini katika kubadili hali ya hewa na tukikumbuka leo NI SIKU ya UHURU wa PAKISTAN  hebu tujikumbushe kirefu cha jina PAKISTAN kama lilivyobuniwa na  wanafunzi wa Cambridge Uingereza enzi hizo:

P-unjab
A-fghania
K-ashmir
I-ran
S-indh
T-ukharistan
A-fghanistan
N  BALOCHISTAN

Ndio ,...
...jina la nchi hii lilibuniwa darasani Uingereza.

Unauhakika ni akinanani walikuwa mezani wakitungisha mimba jina TANZANIA kabla jina TANZANIA halijazaliwa rasmi?

Hebu tubadili zaidi hali ya hewa kwa kudungwa hii ngoma kutoka kwa The Bluesbusters iitwayo - Three Times A Lady



Au tu Lionel Richie naye airudie ngoma hiihii -Three times a lady



Tuhamie kwa Maxi Priest akidunga mkito-Golden Lady



Au tu Stevie Wonder naye adunge mkito huu huu -Golden Lady



Au tu Maxi Priest amalize tu kwa kutukumbusha kuhusu Marcus Garvey kwa ndude- Marcus

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP