Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama kuna mkutano wa MBU ili kutibu MALARIA!

>> Thursday, August 19, 2010

Katika mkutano wa MBU,....
.... mbu wanaweza kukubaliana pia STAILI ya kukwepa kupigwa kofi na BINADAMU wakati wanapata msosi katika staili ya KUNYONYA damu.:-(


Swali:
  • Kwani  mnyonge anategemea MAFISADI watajadili nini katika mkutano uliojaa MAFISADI Tanzania?
  • Kwani huwa unashangaa WABUNGE wakikubaliana kuongeza mshahara wa WABUNGE katika mkutano wa WABUNGE?:-(


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA Kigoli!



Hebu twende unyagoni na Harry Enfield katika - Women Keep Your Virtue


Au tu Harry Enfield achokoze watu kwa -Women know your limits



Harry Enfield atupeleke jandoni kwa -The Conjugal Rights Guide


Ok ngojea Tenor SAW abadili mkuno kwa kurudia sindimba-Ring the alarm




Au tu Buju Banton aingilie shughuli katika ndude hiihi -Ring the alarm

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 10:10 am  

Ni sawa na kesi ya ngedere kumpelekea Tumbili au nyani. Na ndio maana, ufisadi na mitulinga yake imekuwa wimbo wa kujitafutia kula, kwanii hawo wanaofisidi ndio wanapelekewa sufuria lilojaa hazina na kuambiwa kalificheni mbali hii ni mali ya umma!
Mmoja atasema, ngoja nionje kidogo, inafanana na nanihii, mwingine atasema mbona wewe umeona, ngoja nami nione utamu wake, basi itaenda hivyo hadi mwisho wa siku ile hazina peyuuu...kweupe

Yasinta Ngonyani 1:09 pm  

mmmmmhhhh:-)

PASSION4FASHION.TZ 10:31 pm  

Mmmmh! nasasa kwenye kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi wengine yetu macho na masikio,dalili mbaya tumesha anza kuziona wenye kuua watu ili wapate kuingia kwenye ufalme wa mafisadi wengine,wenye kukamatwa na mifupa ya watu wengine,wenyekukamatwa na ngozi za watu wengine,wenyekukutwa wakioga uchi makaburini wengine basi ni heka heka kunani huko bungeni jamani?????

Maisara Wastara 9:12 am  

We haya weee!!!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP