Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri UNAWEZA kuwa RAIS mzuri wa CHOO kama hata harufu za MAVI huzijui?

>> Friday, August 27, 2010

Inaeleweka  kuwa ASIYEPENDA harufu mbaya za KINYESI ,....

....anaweza kuwa ni mfanyakazi bora tena wa kujituma katika kusafisha UPEVU wa tunda  MSALANI.:-(


Swali:

  • AU?

Na LABDA  kujulia KITU hata kama kujua huko ni kwa kitu kama  tu  KUKUNA kipele TU kitu ambacho kwa mtazamo wako NI shughuli IJULIKANAYO KIRAHISI  kuwa  ILI KUIFUDHU haihitaji MIAKA,....
.....inabidi UFIKIRIE na KUANGALIA UPYA kuwa kuna uwezekano hata  pia KUJIFUNZA UFISADI kwa ambaye HAKUWA FISADI ni rahisi  na hakuhitaji WIKI MBILI kwa KABWELA KUUPATIA  ufisadi  .:-(

Swali:
  • AU?
  • Unafikiri kujifunza UFISADI na kwa MTOTO kujifunza kuacha kunyonya KIDOLE ni NINI  ni kigumu ZAIDI?


Na wakati TUNAELEKEA KWENYE UCHAGUZI TANZANIA,...
...na tunamatumaini ACHUKIAYE ufisadi  ataendelea KUUCHUKIA ufisadi hata akiwa katika nafasi imtiayo nyege ya UFISADI kwa kuwa KATIKA SEHEMU AMBAYO  kazungukwa na viwezavyo KUFISADIWA,....

.....inawezekana kuna waondolewao BIKIRA ya UFISADI hata kwa kujichokonoa wenyewe chumbani wakati  WASHABIKI hakuna.:-(


Swali:
  • Unafikiri unaweza kuwa RAIS mzuri  wa CHOO hata kama harufu za MAVI hujui?

Samahani MHESHIMIWA  kwa kuwa KUNA UWEZEKANO   wazo limepinda na  haki ya mjusi tena hili ni WAZO TU na NIMEACHA!:-(






Hebu katika kubadili hali ya hewa KIJIWENI Richard Marx arudie baladi nene iitwayo-Right Here Waiting For You






AU ngojea Michael Bolton na Percy Sledge warudie ndude-When a MAN loves a Woman


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP