Kwa kuwa kuna UMADHUBUTI wa HATA chupi iliyochanika KIDOGO,....
>> Saturday, August 28, 2010
..... KIFICHA NYETI a.k.a kifumbisha jicho ENEO ANUAI , huwa kinaweza kutimiza HAJA ZOTE za kuficha UCHI kuliko hata chupi mpya iliyoingia MNATO MFEREJINI ambayo ni bonge la chupi kama la bibi kwa UZIMA.:-(
NA inategemea unachungulia NINI kwenye tundu DOGO,...
.... kwa kuwa NI KWELI pia HATA kwa kuchungulia kwenye TUNDU DOGO unaweza kuona MZIGO WOTE wa bonge la UCHI UNUKAO wa mtu MZIMA.:-(
Swali:
- AU?
Ndio,....
...KIDOGO,...
...hata kama ni KWA kuingiza tu kidogo,...
....USISHANGAE kitendo hicho kumfanya apate mimba hata INZI jike aliye na utu UZIMA.:-(
Swali zaidi KIDUCHU:
- Si unakumbuka CHUPI aka KIFICHA NYETI chenye tundu kinaweza kuwa kinafanya KAZI vizuri za CHUPI kama tundu HALILENGI utakapo UTAMU ufichwe?
TAHADHARI: Stori hii haina uhusiano na CHUPI wala UCHI wa mtu na ukifikiria utastukia HICHO!:-(
NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA na ni ruksa kutonielewa NA MKUU KWA HILO usikonde!:-(
Moja kwa moja hebu Mchungaji MUNISHI abadili mkao kwa ndude nzito iitwayo- Michael Jackson is not DEAD just sleeping.
Au hebu Lenny Henry na Rowan Atkinson aka MR BEAN wacheze na kumbukumbu ya Michael Jackson
AU hebu tu FRESH JUMBE arudie ngoma nzito yenye tako kubwa katika -Ama zake AMA zangu
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment