Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa katika shughuli ya kujamba, KIJAMBIO kwa kawaida huwa hakiombwi RUKSA!:-(

>> Thursday, August 19, 2010

Ndio,...
.... katika shughuli AMBAZO hufanywa,....
... kitumikacho kufanikisha SHUGHULI kufanywa kingekuwa na jeuri ,....
....LABDA usingekojoa.:-(

Swali:
  • Unauhakika mikono ingekuwa na kibezi ingekubali kutumika katika shughuli zako za chooni za KUCHAMBA?

NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA na wala huhitaji kubadili chupi kama HUNIELEWI nacholenga kwa hoja.:-(


Katika kubadili wazo:
  • Kama WEWE ni MKRISTO au MUISLAMU , hivi unafikiri SHETANI naye anaungua JEHANAMU kama njemba zenye dhambi?


Ok ngojea tu Manu CHAO abadili hali ya hewa kwa kidude-Desaparecido




Manu Chao ashushe-Me gustas tu


Au tu Manu Chao amalizie tu kukuna kipele kwa- Bongo Bong

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP