Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hii ni kwa WADAU WOTE wenye HUZUNI LEO!

>> Friday, November 19, 2010

Kumbuka,...
....HUZUNI ni swala la kupita tu MKUU!


Na katika MAISHA  haiwezekani  MTU akawa na FURAHA siku zote kwa kuwa huo hautakuwa UBINADAMU Mkuu!

Ila mara zote kumbuka BAADA ya HUZUNI ,...
...kifuatacho ni FURAHA Mkuu,....
...kama hata mpaka WAKWARE wadaivyo mambo ni zamuzamu ati!

Na kumbuka tu MKUU kuwa,....
......inawezekana kabisa  siri ya BOMBA la FURAHA iliyombeleni mwako ni jinsi tu ujisikiavyo HUZUNI leo Mkuu!

NI HILO TU MKUU!
Tuko PAMOJA!
Ijumaa na WIKIENDI njema MKUU!

Tukibadili , jaribu kufanya mazoezi yakutocheka na hawajamaa lakini ....


Na kwa kuwa yote ni maisha ngojea Ladysmith Black Mambazo warudie-HomelessAu hawahawa Ladysmith BLACK Mambazo waje na- Knocking on Heavens Door

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:00 pm  

Ahsante Mtakatifu Simon:-(

Upepo Mwanana 1:05 pm  

Leo naona maneno makali na ... havijamwagwa humu. Tunashukuru kwa hilo!

SIMON KITURURU 1:10 pm  

@Da Yasinta: Aksante sana kwako pia Mwanakwetu!
@Upepo Mwanana: Maneno makali yapi hayo?Na.... ipi?

Lakini Aksante kushukuru pia kwako Mdada kwa kuendelea angalau kuchungulia hapa wakati unadhani kuna maneno makali na .....!

Pamoja sana tu!

Swahili na Waswahili 5:41 pm  

Aksante kwa ujembe mzuri!

SIMON KITURURU 9:02 pm  

@Swahili na Waswahili: Asante nawe Rachel kwa kunitembelea kijiweni kwangu !

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP