Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAISHA NI mafupi,...

>> Tuesday, November 16, 2010

.... KUPITISHA muda  tu,....
......ukiogopa KUJARIBU KWA kuhofia labda ETI UKIJARIBU utachemsha.:-(Na  usipojaribu KITU maishani,....
.....LABDA....
.....NI KWELI hutafanikiwa KITU.:-(


Na chakusikitisha ni kuwa inasemekana,....
....WATU wengi tu,....
..... kutokana na PRESHA ZA JAMII,....
..... huogopa KUJARIBU VITU kwa kuhofia KUCHEMSHA.:-(

Swali:
  • Unauhakika ni MANGAPI hujaribu ambayo ndiyo UYATAKAYO maishani?
  • Si unajua kama hutajaribu hata KUTUKANA maishani mwako unaweza usijue ni kwa jinsi gani kwa matusi wewe ni KOCHA wa timu ya Taifa kama kisiri ilivyokuwa ndio hamu yako?

Ndio,....
..... labda USIPOJARIBU ni kweli  umeshazuia UWEZEKANO,....
.... angalau wa kugeuza LIMTU ulizimialo KISIRI kugeuka kuwa,...
.....ni LIMCHUMBA lako KIKWELI  maishani.:-(


Swali zaidi kiduchu:
  • Si inasemekana kuna WAHESHIMIWA waishio na MKE wasiyempenda kwa kutojaribu tu kufuata MOYO wao na kumgeuza HAUSIGELI wenye mapenzi naye ya kweli awe ndiye MKE katika kusaidia maisha yawe na FURAHA ya kweli?
NI wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu Prince arudie kitu-Somewhere Here On Earth
Prince arudie pia na -Crimson and Clover


Au Prince amalizie tu na-Sexy MF

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 3:28 pm  

Wanasema mazoea ni kilema, ukiwa nacho inabidi ukizoee! Lakini pamoja nacho huwezi kukaa kimya ukasema kila kitu kitakuja, hapana! KUJARIBU NI MUHIMU!
Wengi tumeogopa kujaribu, ndio maana mapaka sasa TZ haijui umuhimnu wa kugawana madaraka, umuhimu wa leo sisiemu kesho kafu keshokuta chadima!...tunaogopa kujaribu, tunaogopa eti fujo...lakini moyoni kuna fujo, hakuna amani...!
Ni hayo tu mkuu

SIMON KITURURU 3:36 pm  

@M3: Umenena yote Mkuu!

chib 6:21 pm  

Mkuu nani kakuambia mtu kumgeuza hausigeli sehemu ya kujihifadhi ya kuwa anaishi na mke asiyempenda. :-)

SIMON KITURURU 6:39 pm  

@Mkuu CHIB: Hadithi hiyo wala hata sijui alinifundisha nani!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP