Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukichezea MITA BENDI labda zaweza kukusikilizisha mpaka REDIO ZA MATUSI badala ya redio ya SAUTI YA INJILI!:-(

>> Sunday, November 28, 2010

Na yote ya INJILI,...
...kama tu MATUSI yanawezekana.:-(
Na katika kutembelea KIBANDA cha kuku,...
.... kumbuka tu kuwa kuna uwezekano mkubwa wakati huo  kukanyaga MAVI YA KUKU.:-(


Swali:
  • Hivi MHESHIMIWA ushawahi kuchezea MITA BENDI katika kutafuta MATOKEO?
Ndio,...
...na wakati unawasiwasi na REDIO TUMAINI,...
...unaweza KIMITABENDI kupata mpaka  BBC halafu ghafla UKASTUKIA  utakachosikia  bado KWENYE bbc, cnn,TBC ..... mpaka FOX  labda ni aina  TU tofautitofauti  ZILEZILE za harufu za UCHI wakati unachojaribu NI kujisahaulisha uwezekano kuwa UNACHOAMINI ni kuwa harufu halisi ya UCHI ni kama samaki aliyeoza a.k.a harufu mbaya katika kujiaminisha kwakuwa TAMU labda ni lazima ikinuna ITABIDI NDUDE inukie vizuri.:-(NI HILO TU Mheshimiwa mwenye KIPENGELE!:-(


Hebu ghafla Eric B. na Rakim waingie ghafla na - Don't Sweat The TechniqueAu tu hebu SEAN PAUL abadili mfereji kwa -TemperatureAu tu SEAN PAUL aunguze kidude kwa-We Be Burning
Ndio,...
...kwenye pati hii SEAN PAUL alikuwepo live pia .....


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mwanasosholojia 4:17 pm  

Imekaa vyema hii Mtakatifu!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 7:49 pm  

kweli kabisa mt.

emu-three 10:57 am  

Sio mbaya kwani hata ukinywa mvinyo ni pombe, na pombe ni kilevi na anayekunywa kilevi huitwa `mlevi' lakini kwa wengine ni tusi hata kama anabwia mataputapu!
'Mimi sio mlevi bwana, nakunywa na silewi!
Mkuu ukidadavua mitabendi , si lazima upate jema, ni kama unapopita njiani na kujifanya mlokole, njia utakuta yote, na mengine yatakutamanisha, na ushindwe hata kujizuia,...
`mmmh, mungu kajalia mke yule kajazia...'
kwani macho hayana pazia, kama masikio yasivyo na kizibo! Na kama kikojoleo kisivyo na kifuniko..
Ni hayoo tu mkuu

Yasinta Ngonyani 11:32 am  

mmmmmhhh! kaaaazi kwelikweli !!!

SIMON KITURURU 11:37 am  

@WOte: Mmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP