Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Vipi Mkuu! Za JUMANNE!

>> Tuesday, November 16, 2010

Nakusabahi tu Mkuu!


Si unajua tena ni rahisi kujisahau kwa kuendeleza tu siku bila hata kukujulia hali?


Ni hilo tu MKUU na nakutakia siku NJEMA!
Mpate basi Serge Edouard Morisseau katikawimbo wa X-mass  - Fo' n Fete

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:56 am  

Jumanne yangu nadhani itakuwa njema nawe za jumanne Kaka mpenzi Simon!!!

Fadhy Mtanga 10:12 am  

Jumanne yangu ipo muruwa ila tu mvua inanitia majaribuni nirudi kulala

SIMON KITURURU 2:19 pm  

@Da Yasinta:Asante Da Yasinta!
@Fadhy:Pole na mvua Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP