Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ndani ya nyomi ya nyominyomi ya Oliver Mtukudzi, HABIB KOITÉ na AFEL BOCOUM katika kufanya siku iende.:-(

>> Thursday, November 11, 2010

Ndio,...
.... ndani ya siku  MALI, Zimbabwe na MALI tena ndio walio saidia siku fulani ya juzi ya jana isibane miguuu.:-(


Bila kusahau:

Katika Percussion alikuwepo -Souleymane Ann
Katika Bezi gitaa na Kamale N'goni alitekenya-Abdoul Wahab Berthe


Katika gitaa- Mamadou Ousmane Kelly

Habib Koite: alikuwa katika  KUIMBA na GItaa
Afel Bocoum: Kuimba na Gitaa
Oliver Mtukudzi: Kuimba na Gitaa
Brehima Hama (Yoro) Cisse: monocord
Mamadou Ousmane Kelly: Gitaa
Tendai Samson Mashingireni Mataure: percussions na Kuimba
Philip Tzikirai: mbira


Hebu wadokezeee kitu hawa mchanganyiko wa WAZIMBABWE na MALI.....
 AU moja kwa moja Oliver Mtukudzi kutoka ZIMBABWE adinye mwenyewe-Ngoma'ne Hosho


Hebu naye  Afel Bocoum  kutoka MALI arudie wimbo umhusuo gwiji kama unafuatilia miziki ya AFRIKA utamjua  ambao ni-Ali Farka


Hebu Habib Koitè naye kutoka MALI aingilie kati na -TakambaHalafu sijui kwanini hebu tu Oliver Ntukudzi na Ringo Madlingozi warudie tena MDINYO -Into Yami


Ndio kuna baadhi ya picha zilizodakwa wakati hawa jamaa wapo ndani ya nyumba  juzi ya jana ambazo ni.....Habib KoitèAfel Bocoum


Oliver Mtukudzi


Oliver Mtukudzi


TUKO PAMOJA!:-(

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:08 am  

Pamoja kabisa na hizo Chai hizo ama kweli :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP