Ndio ,SHETANI aliwahi kuwa MALAIKA mzuri tu!:-(
>> Wednesday, November 03, 2010
Na  ndio,....
.... kama unafuatilia MAFUNDISHO ya dini fulani  fulani kama vile  ya KIKRISTO,....
....utastukia kuwa hapo zamani za kale SHETANI alikuwa ni MALAIKA mzuri tu wa MUNGU.:-(
Swali:
- Si unakumbuka yoyote ufikiriaye ni MZURI kitabia au tu KIMATAKO amebarikiwa uwezo wakuwa MBAYA PIA hapo BAADAYE?
Ndio,...
.... na mijitu yoyote ile ufikiriayo kwa kuwa sikuhizi imenogewa na vitu uvionavyo ni VIBAYA kama UJAMBAZI, ufisadi, umalaya au tu UDOKOZI WA MBOGA jikoni kama hakuna mtu,....
.... ilipozaliwa ,...
...ILIZALIWA ikiwa ni mitoto mizuri tu.:-(
NI HILO TU na NI WAZO TU HILI Mheshimiwa!:-(
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment