Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika UCHOKOZI: Hivi una MARAFIKI wangapi kwenye FACEBOOK ambao kikweli sio MARAFIKI zako?

>> Wednesday, November 24, 2010

Urafiki ni kitu cha ajabu,...
.....hasa kwa kuwa huchukuliwa kwa ulaini kuwa ni KITU cha kawaida,...
...kitu kifanyacho kuwa wengi tu MAADUI zako  unaweza kudhania kabisa kuwa ni MARAFIKI zako ,...
...kwa kigezo  hata kidogo tu cha kuwa eti,....
....kila mkikutana huwa MNACHEKEANA!:-(Swali:
  • Kwani  unafikiri una MAADUI wangapi MAISHANI uwaitao MARAFIKI kwa kuwa tu kuna kitu HUJASTUKIA?


Ni HILO tu MHESHIMIWA na ni wazo tu!:-(


Hebu tupate hii kitu.....Au tu OSIBISA waingizie tu tena-The DawnAu tu OSIBISA waingizie na -    Y-Sharp

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Malkiory Matiya 1:11 pm  

Rafiki yako kumbe ni adui yako. Rejea wimbo wa Mr. Nice

SIMON KITURURU 2:07 pm  

@Mkuu Malkiory: Si utani!:-(

Ila chakutia moyo ni kwamba mpaka kuna BAADHI tudhaniao ni MAADUI lakini kiukweli hao ndio MARAFIKI.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP