Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kunauwezekano kuna dakika kadhaa DR SLAA alifikiria atakuwa RAIS wa TANZANIA mwaka huu!

>> Monday, November 08, 2010Na kunauwezekano  kuna MPAKA masaa fulani ,...

.....Rais Jakaya KIKWETE alidhania kunauwezekano atapoteza URAIS mwaka huu!:-(


Swali:
  • SI unakumbuka karibu kila mtu kuna wakati HUWA   hana uhakika kuwa  MTIHANI aliofanya atafaulu kama afikiriavyo, AKITONGOZWA ni kweli atakubali hasa kwa kuwa anapenda lakini ni dhambi,  au tu kwa kuwa ni SILIKA YA KIBINADAMU kutokuwa na uhakika AHANDREDI PASENTI?

Ndio,...
...labda ni KWELI kuwa kila mtu kuna dakika kadhaa MAISHANI  huwa anafikiri kuwa KAWINI NDUDE ingawa labda vile vile hata MSHINDI ukimdadisi utastukia kuwa furaha yake kubwa,....

.....hasaa NI KWA SABABU  kulikuwa na dakika kadhaa alikuwa anafikiri atakosa angalau katika kauli  kitu kisicho hata kuwa muhimu  kwa MAPADRE kama vile DEMU au tu KITU kisicho hata kuwa ni MUHIMU kwa aliye MWANASIASA wa ARUSHA  ambacho ni swala la BASI la kwenda KIGOMA.:-(


NI wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMATATU NJEMA!


Hebu Ayo aingilie kati shughuli kwa ngoma nzito-Life is REAL
Au tu AYO ashushe nyundo nzito zaidi ambayo ni -Help is COMINGHebu ASA aingilie kati pia na kusawazisha tena kwa ndude -JAILER

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 11:44 am  

Ndio mkuu, yaliyopita si ndwele tugange yajayo!

SIMON KITURURU 1:31 pm  

@M3: Si utani! Nashukuru pia Mkuu kwa kutochoka kunitembelea Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP