Labda ni KWELI kuwa MAFANIKIO ya TAALUMA ya MHESHIMIWA ya KUJIBARAGUZA baada ya KUJAMBA kwa bahati mbaya MBELE ZA WATU,....
>> Friday, November 12, 2010
..... hutegemea na JUHUDI za  HAO watu wengine walioshuhudia TUKIO ADILIFU HILO kujibaraguza pia kama vile HAWAKUSTUKIA  kuwa MHESHIMIWA kaachia USHUZI!:-(
Swali:
- Si unajua kuna uwezekano hata HESHIMA za MHESHIMIWA labda hutegemea tafsiri za AWAHESHIMUO Mheshimiwa katika utambuzi wa afanyacho MHESHIMIWA ni HESHIMA?
Ndio,...
.....NI HILO tu na NI WAZO TU HILI Mheshimiwa!:-(
Hebu tuhame topiki na kwenda KENYA kufundwa na Gertrude Mungai katika -Modern Sexy Woman
Au tu ngojea Gertrude Mungai aendelee...
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment