Wakati tunaangalia kuwa labda kuna MWANADINI ambaye asingefuata dini vizuri kama angekuwa na uhakika HAKUNA jehanamu!:-(
>> Thursday, November 04, 2010
Kuna wakutendeao mazuri ,...
....ambao  wala wasingefanya hivyo kama  wasingekuwa wanatishika kuwa MATENDO yao leo,...
...LABDA yanaweza kusababisha wabanwe chupi baadaye.:-(Swali:
- SI unajua kuna uwezekano hata matendo mazuri ya MALAYA kwa MHESHIMIWA MTEJA MME au MKE WA MTU hutokana na kudhania atalipwa kitu BAADAYE baada ya kumaliza kumgawia mteja ile ILE KITU , baadaye ?
Ndio,....
.... na  ukiwa na uhakika  kuna chakula,....
... yasemekana pia waweza usisikie njaa mapema.:-(
Na ndio,....
.... inasemekana kwa ahadi ya PIPI  TU kwa MTOTO na wala hata sio  chakula,....
..... waweza  kuongeza juhudi za mtoto akataaye kwenda kulala mapema  akakubali kwenda KULALA mapema.:-(Ni hilo tu na NI WAZO tu HILI MHESHIMIWA , ingawa mtiririko wake  mambo zake VALUVALU.:-(
Hebu tu badili kwa kusikiliza mdinyo wa Me'Shell NdegéOcello uitwao-Devil's HALO
Hebu Me'Shell NdegéOcello adinye tena -Love U down
Au tu Roy AYERS abadili kwa jiwe-Escape
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment