Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jinsi ya KUPATIA upuuzi!

>> Tuesday, November 16, 2010

Kwa kuwa MAISHANI wengi hawaufikirii UPUUZI,.....
.... yawezekana kuna wakoseao kupatia jinsi yakuwa WAPUUZI!

Na labda sio UPUUZI,....
.... kama ni kwa makusudi mtu kaamua kufanya UPUUZi!:-(

Na kipuuzi,...
....yaweza kuwa ndio kioo cha yote MTU afanyayo  ambayo sio UPUUZI!:-(NI wazo tu hili MKUU!

Hebu tumsikilize tu Farrakhan tena ingawa sina uhakika ni kwanini......Au tu Janet Jackson abadili kwa jiwe-I get so lonely

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:01 am  

Ahsante kwa mada hii kwa kweli, upuuzi kuna watu sijui hawana kazi? maana utakuta watu wanakaa vikao na wanachoongelea ni maisha ya fulani kwa nini? hii tabia kwa kwli si nzuri...ukipenda kuongea ungelea kuhusu wewe si Roza au Juma....

Anonymous 11:39 am  

Duh, mtoa maoni hapo juu,siwezi kuamini kama uliyoandika hapa yanatoka moyoni au unaigiza tu. Unafiki ni sumu katika maisha.

Anonymous 11:44 am  

Yasinta! Toa boriti lako kwanza kabla ya kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Anonymous 1:05 pm  

Nihitimishe kwa kusema, Yasinta unaongoza kwa umbea na kufuatilia maisha bifsi ya watu. Nilibakia mdomo wazi baada ya kuona maoni yako hapa ambayo ni kinyume na wewe ulivyo. Heri ya mulozi/mchawi kuliko mbea/mpenda majungu.

SIMON KITURURU 2:14 pm  

Duh!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 2:16 pm  

Kuzungumzia jambo ambalo lipo kwenye jamii wakati mwingine si upuuzi!

Na hata hayo anony wote wanayoyasema juu ya kuondoa kibanzi yaweza kuwa ni upuuzi kwa kuwa aliyeyasema (YESU) aidha alikuwa mpuuzi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP