Vipi Mkuu! Za JUMANNE!
>> Tuesday, November 16, 2010
Nakusabahi tu Mkuu!
Si unajua tena ni rahisi kujisahau kwa kuendeleza tu siku bila hata kukujulia hali?
Ni hilo tu MKUU na nakutakia siku NJEMA!
Mpate basi Serge Edouard Morisseau katikawimbo wa X-mass - Fo' n Fete
 
  
 Posts
Posts
 
 




3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Jumanne yangu nadhani itakuwa njema nawe za jumanne Kaka mpenzi Simon!!!
Jumanne yangu ipo muruwa ila tu mvua inanitia majaribuni nirudi kulala
@Da Yasinta:Asante Da Yasinta!
@Fadhy:Pole na mvua Mkuu!
Post a Comment