.... bila kuwa na SIASA au hata KUFAGILIA jina BONGO kama jina la TANZANIA hasa kwa kulioanisha na SIASA , DINI au hata kwanini wajanja walianza kuiita TANZANIA Bongo NYOSO,...
......wakati jina lake ni TANZANIA .
Swali:
Si ushawahi kujikuta unatumia NIKI NEMU hata wakati unajua jina halisia la MHESHIMIWA?
Ndio,.. ... nakumbuka kuna waliooanisha neno BONGO na Dar-es -Salaam tu,..
... ila sikutegemea kuamsha hisia za Mke wa Mzanzibari LEO kihivyo kitu kilicho zua hotuba kikusahihisha kirefu sana kuwa WABONGO ni WABARA hao,...
... katika WAZANZIBARI hakuna MBONGO.
Swali:
Hivi hii kitu MUUNGANO wa TANGANYIKA na ZANZIBAR..ni kwanini usiri MWINGI.?
Na kwa nini inafikia mpaka tunachukiana NDUGU kwa NDUGU ... mpaka siri nyingine za rafiki za CHUKI unakutananazo kwa MKE wa RAFIKI ambaye unafikiri nyie ni TAIFA moja huku MKUU wa TAIFA hasemi kitu?
Kumbuka tu uchukuliavyo KITU,....
... labda sio kila mtu NDIVYO akichukuliavyo HIVYO hicho KIDUDE,...
....na siri nyingine atoaye ni MWENZA wake kimaisha kwa kuwa yeye kistaarabu ,..
..hayo ya CHUKI huyaongelea USIPOKUWEPO ambako kama sio ´MSIKITINi wala KANISANI ingawa na LABDa wala sio hata,....
... hata kama ni kwa kuwa MAUMIVU yamezoeleka TU,...
... na sasa ndio yameshageuka kuwa KITU kijulikanacho na MWENYE kunogewa ambacho kitafsiri kina unganisha LADHA mpaka na MAZINGIRA bila kusahau wazungukao kwa kawaida SINIA la CHUKUCHUKU chungu ila ni zifanyazo kwa ung'eng'e ``HOME inakuwa SWEET home´´ hata kama inavuja wakati bado NDIO home tena KIKUNOGEWA!
Swali:
AU?
Si CHUMVI na sukari kwa anogewaye vyote ni VITAMU?
Na si uzuri wa NYUMBA sio RANGI ndio maana siye wenye VIBANDA tunanogewa na HOMU sawa tu na wenye MAHEKALU ?
Na katika MAZOEA,...
... nyanya chungu pamoja na UCHUNGU wake,...
... kwa aliyezoea hiyo TAMU kwa kuwa INANOGA tu hata kama UTAMU wake sio TAMUTAMU kama SUKARI bado ni TAMU kikunogewa ,...
(Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.
Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.
"This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research program and its support for international terrorism," Berman said in a letter to President Jakaya Kikwete that was obtained by Reuters.
Berman said if the tankers were allowed to continue sailing under the Tanzanian flag, Tanzania could face the sanctions that President Barack Obama signed into law.
He said Congress would also have "no choice" but to consider whether to continue the range of bilateral U.S. programs with Tanzania.
Officials at Tanzania's embassy were not immediately available to comment on Berman's letter.
The sanctions, along with similar action by the European Union, are aimed at pressuring Iran to curb its nuclear program, which the West believes aims to develop nuclear weapons but which Tehran says is for peaceful purposes.
The United States gave China a six-month reprieve from Iran financial sanctions on Thursday. The Obama administration has now spared all 20 of Iran's major oil buyers from its unilateral sanctions, rewarding them for cutting purchases of Iranian oil.
(Reporting By Russ Blinch; Editing by Bob Burgdorfer)
....la weza kuwa ni LILE lidharaulikalo kwa kuwa eti ni la muda MFUPI!
Swali:
Kwani unafikiri kwa kuwa Tanzania inashindwa kutibu matatizo yake ya muda mrefu kwa hiyo ndio maana yake kuwa MATATIZO ya muda mfupi kiumuhimu sio MATATIZO muhimu?
Ndio,...
... maisha ni MAFUPI,...
... na kimaisha ya MUDA labda hakuna MUDA MFUPI!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA! Ijumaa na WIKIENDI njema aisee!
Hebu niwaachie URBAN TAP ambao ni:
Tamango - MC, tap dance & vocals
Naj Jean de Boysson - V Jing / live videomix
David Murray - saxophone
Cheick Tidiane Seck - keys
Kenny Muhammad - beat box
Nuru Kane - guembri
Kaoru Watanabe - japanese flute & taiko drum
Daniel Moreno - percussions
Mosin Khan Kawa - tablas
Nawaz Ali - vocals
Roxane Butterfly - tap dance
Antoinette Gomis - dance
Didier Firmin - dance
Ya-Hui Chan - dance
....yasemekana HUWA hulalamikiwi kama hukuridhisha mtu KIOGAZIMU,...
......kwa kuwa ETI kijaliwacho sana wakati huo eti YASEMEKANA ni kuwa,...
... kama hamjafumaniwa KISHUGHULI wakati mmekutanisha viungo vyenu vya siri,...
....basi MMESHAFANIKISHA hata kama ni kiMIGOMBANI gesti KISHUGHULI!!:-(
Swali:
Kwani hujagundua YASEMEKANA lawama nyingine nyingi LABDA ni mazingira tu yaletayo hata KIBEZI cha kulaumu au tu kufanya kisichostahili KULAUMIWA KIGEUKE KUWA lawama?
Kwani UNAFIKIRI kuna hata atakaye lalamikia hakuna MAKANDE wakati katika mazingira yake hakuna MAKANDE?
Ndio,...
... LABDA mambo mengine hutafUtiwa tu LAWAMA kwa kuwa umuhimu wa UGALI wake labda wala sio LADHA,...
.... ila ni kibebwacho tu na UGALI hata kama sio UGALI ndio kiletacho KUSHIBA!:-(
......LABDA ..... ....kumbuka TU kuwa hata bila KUBAHATISHA naniliii,....
....kuna ananiliwaye KINANILII.....
... hata kama kivyako kinaniliwacho ni KORANI na sio BIBLIA,...
..kwa kuwa ni MBUDHISTI na wabuzisti wamekaa KIMYA kisensa au hata KIKITEKENYEO,....
......na hawachekelei KANYAU!:-(
Swali:
Si kunauwezekano HUNIELEWI?
Unataka kubisha au UNABISHA?
Si unakumbuka CHUPI nyeupe sio ya KIJANI?
Na katika ajiaminiye ana-NANILII,...
... labda KUNANILIWA kuna mionjo ya ASIYEgunaye kwa kuwa kuna AGUNISHWAYE ,...
.... na eti kisa cha apigaye KELELE kwenye mambo hata mENGINE kwa kuwa TU eti bado mambo ...
.....MPAKA hayo AMBAYO labda KIUKWELI yako zaidi KIUDAKU hata MAKANISANI na MISIKITINI ,....
...ingawa LABDA na bado hata KIKIVITENDO ni kuliko BAJETI za Ki RAISI KIKWETE kwa WATANZANIA hata ambao ni AMBAO ni Rais ni KIKWETE hata kwa wa ZANZIBARI ambao WATANGANYIKA hawawataki ,....
.. NA inabakia ni yasemekanayo tu MITANDAONI ,...
...ingawa kuna LABDA anayefikiri
...na AFIKIRIACHO anayefikiri,...
...LABDA kuna-NANILII,....
.... na sio tu kuna KUNANILIWA.:-(
Ni wazo tu hili aisee NGULI!
Nakutakia siku KIBONGE aisee!
DUH! Yani umenisoma hii mpaka huku?:-(
Hebu Barry WHITE avue watundu chupi basi ,....
.....kwa -Can't get enough of your Love, Babe
Ajaribu akiwa na PAVAROTTI katika- My everything
Au tu JAMES BROWN ,....
....akatizie denge na kuzima na huyuhuyu PAVAROTTI ,....
....katika kidude-ITs' panya na NYAU's world
Yeah!
Na nilipitia mpaka huku AISEE,...
.... hasa kama unajua ULAYA ya KASKAZINI najua utajua huku ni wapi!:-(
.....yasemekana hutosha kuaminisha BAADHI YA WATU ,...
....kuwa ETI wanajua stori NZIMA ,...
....za kilichotokea CHOONI kishughuli!
Swali:
Na si inawezekana asili ya CHOO kunuka sio yule uliyekutananaye kwenye mlango wa CHOO kabla hujaingia ili nawe ukabili SHUGHULI za kimaisha?
Si unakumbuka DALILI ya GONO bado sio GONO lenyewe kwa kuwa yaweza kuwa KIISHU hilo ni KASWENDE?
Ndio,...
... harufu ya CHOO labda ni dondoo tu ambayo,...
.....sio STORI kamili yani!
Swali:
Kwani unafikiri hata BAFUNI watu HUOGA tu hata na minyege yao ya kiutu uzima.... hata ile ya KISIASA ya kutaka kujeruhi MTU kisa anasiasa za mapenzi za mrengo wa pembeni?
Ndio,...
... labda hata harufu ya WALI vichakani,...
.... anukiaye ni NYOKA na wala sio UBWABWA!:-(
Ni wazo tu hili KAMANDA Mheshimiwa!
Hebu kimdodoso BOB MARLEY arudie-BAD CARD
Aongezee -Stiff Necked FOOLS
Ajaribu kuzima kwa- Time will tell
Ila tu hebu SHAI wabadili ili walainishe na kuzima tena kwa-If I Ever Fall In Love