Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

ACHA UROHO WEWE, ingawa NinaKUKUBALIA KUWA UCHOYO una ASHKI zake

>> Friday, April 04, 2008

Uchoyo una ladha yake!
Ukiwanyima watu , waweza kujilimbikizia.
Lakini ... ukiwanyima watu kidude nakujilimbikizia waweza kudodewa nacho.


DUH!

Tatizo la binadamu ni kutaka.
Tunataka kimsingi na tunataka kwa sababu basi tu imekuwa ujanja kutaka mpaka vidude vya mwenzio.

Lakini...
...unaweza kutaka kwasababu huna au unacho na usiwe mroho.

Swali:

  • Ushawahi kujistukia umemstukia mroho kwa sababu kajilimbikizia vile uvitakavyo ?
  • Ushawahi kujistukia usingekuwa unatamani mroho avibugiavyo, usingejali wala kustuki kuwa yule nanihii ni mroho?
Sasaa.........!

Kama uroho nikutaka zaidi ya uhitajivyo, inawezekana kuwa kila mtu mroho.

Inawezekana wewe umeshazidisha uroho wa:

  • Kabichi
  • Kusali
  • Ngono
  • Elimu
  • Kutaka kuchekewa
  • Kuhurumiwa
  • Na ........ nk.

Swali:
  • Wewe upendaye sana shule, hujafikia uroho wa elimu?
  • Wewe upendaye kupendwa, si mroho wa upendo?
  • Wewe upendaye kuhurumiwa, si mroho wa huruma?
  • Wewe ufikiriaye ni mchoyo kidogo, hujajilimbikizia nanihii zaidi ya uhitajivyo?

Kuzidisha kutaka kama kuzidisha chochote si freshi.

Ukizidisha uchoyo wakati unapata, utajilimbikizia tu, na vingi kama si vyote vitaoza au kuharibika.

Usizidishe wapenzi kama huwezi kuwashibisha penzi, watavujisha au kuonja tu kwa wajanja wachezao karibu na goli kama wapenzi hawashibi nyumbani.

DUH!
NAACHA !

Tutaonana baada ya siku kadhaa...Mwenyezi akijalia!

Tuliza wikiendi hii kwa kukatika magoma(mnanda) haya ya WaSauzi Afrika yakiletwa na Tshe-Tsha Boys wakija na muziki wa Shangaani



Pata picha fulani zangu na wadau wasionitupa, ambazo hazijapoa kiduchu.....

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket

Samahani kidogo !
Bado nawasikiliza Raphael Saadiq na Q-Tip


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket
Photobucket

Photobucket

Photobucket
CHACHA, Biz,... na...., ..., ...., Mpo?

Au muangalie tu Michael Jackson akukumbushe miondoko fulani...


CHAO!

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 8:09 am  

Mzee Simon,kama mmoja wa wadau wa JUMUWATA wengi wangependa kusoma taarifa fupi ya maendeleo ya JUMUWATA.

AMANI.

RASTA HAPA.

Simon Kitururu 7:59 am  

@Rasta:Nimekusikia.

Anonymous 1:52 pm  

heheheheh, mungu kaka Mangàna leo tutafaidi? ebwaaaana ehh umekuwa mzee ndugu yangu lol...
mahewa umekonda duuuuuh, jamani nyie watu inabidi nitafute nauli nije kuwasalimia...namuona kama Mangi ama nina makengeza? au ni Jerry?
mhhhhh tuwasiliane nyie watu lol
mdogo wenu..(lulu)

Anonymous 1:54 pm  

best881@gmail.com KAKA SIMON ,naomba mawasliano na mabroo zangu tafadhali...

Anonymous 1:54 pm  

best881@gmail.com KAKA SIMON ,naomba mawasliano na mabroo zangu tafadhali...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP