Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

OMBI MAALUMU kwa WACHAWI!

>> Tuesday, April 15, 2008

Kabla sijaendelea.......
....tulia na picha hii ya mjamaa akipata NYAMA choma.....






Usitishike!
Inawezekana watu hawali watu.
Inawezekana picha hii si ya kweli.
Nimeitoa hapa









ILA...
...Ombi maalumu kwa WACHAWI!

Mchawi yeyote mzoefu , naomba dondoo za nini kinaendelea katika fani yako .
Unaweza kuanzisha blogu ya wachawi bila kujitambulisha au kutoa komentsi kama ma- anonymous watoavyo wakati wakitukana.

NINGEPENDA kukukumbusha kuwa FANI yako ya uchawi, ni miongoni mwa fani ambazo zina wataalamu wachache sana, ukilinganisha na idadi ya watu waathirikao na UCHAWI ,kifikira au hata kiimani na utendaji.

FANI yako ,inaathiri sana mamilioni ya watu katika nchi masikini, HASA KUTOKANA na usiriusiri wake .

JARIBU kusaidia kuelimisha watu KUHUSU FANI yako, ili yale yawatishayo ambayo ni danganya toto yajulikane.

ASANTE sana !

DUH!

Usitishike!
Lakini sitaniii hapa!

Unaweza kujitoa katika wazo la wachawi kwa kutulia na Kizomba. Mpate basi....

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 2:26 pm  

na kweli itakuwa vizuri watu wakianzisha blog zao za uchawi lol. kkkkk umeniacha hoi hapa kaka Simon..
mhhh subiri kwanza je na wale ambao wanasafiri na nyungo je? ni kuhisi ama ni sayansi imefanyaje?.
lulu.

Simon Kitururu 2:46 pm  

@Lulu: :-)

Aliko 10:59 am  

yeah sayansi kimu man

Simon Kitururu 5:35 am  

@Altunes: Sayansi kimu na sayansi fulani.........

Simon Kitururu 5:35 am  
This comment has been removed by the author.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP