Friday, April 18, 2008

NANI kawaambia WATANZANIA kuwa WANAISHI ndani YA nyumba YA KIOO?

Kama unaishi ndani ya nyumba ya kioo, usirushe mawe.

Inasemekana TANZANIA hakuna arushaye jiwe kutokana na kuogopa kuvunja kioo.


Topiki INAENDELEA.............

Nimebanwa kidogo.........

Tutaonana tena JUMANNE ijayo hapa kijiweni, kama sijafa au kama naweza na inawezekana.....!

WIKIENDI NJEMA!

WAZIRI wa UTAmaduni wa Brazil- Gilberto Gil na TribeCalledQuest walitawala wiki yangu hii , masikioni.

Endelea nao kidogo kama unakaudhaifu na mimi kiduchu:-)

AU?

Tuanze na Gil akikupa Aquele Abraço na BACK in BAHIA




Halafu Akikupa TIME WILLTELL...



Malizia na TRIBE CALLED QUEST wakikuambia JAZZ(we've GOT)



KATAARIFA kaduchu:

J
UMANNE imefika....
Lakini ashki ya topiki hii imenitoka kidogo.:-(
Nitaendelea nayo siku nyingine.

2 kommenttia:

Anonymous said...

Jamani, mimi hufurahia blogi zako sana, na umeniongezea busara kwa maneno ya maisha na kwa lugha ya Kiswahili! Endelea ndugu, na usichoke.:)
Msomaji mwaminifu (na Mkenya wa lugha bpvu).

SIMON KITURURU said...

@Anony.:Asante kwa kunitembelea na kwa kunipa moyo wa kuendelea kuandika kitu fulani:-)