ELIMU , KUELIMIKA na UBUNIFU baada YA kuelimishwa.
>> Tuesday, April 01, 2008
DUH!
Nimependa tu kuandika hicho kichwa cha habari!:-)
Kama una nafasi , unapenda elimu na unamisuli ya tabasamu unaweza kufurahia kumsikiliza
Education guru Sir Ken Robinson
BAADAYE WADAU!
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment