Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

AISEE dada , njoo katika dunia IELEKEAYO kwa kina KAKA kupewa MIMBA!

>> Saturday, December 20, 2008

Hapo zamani , wadai palikuwa dhahabu.
....Eti sasa na tuelekeako kuna MIBA


Lakini....

Babu mzaa babu alimpa adhabu
....babu kwa mapotofu ya babu ya KUVUnja AMIBA.

Baba akasifiwa na babu kwa kuwa na adabu,
...na kufunzwa ni nani mwenye tabia nzuri katika DUNIA ya JANA afaaye kupewa MIMBA.

Baba alifunzwa nani afaaye
... kwa kuwa kulikuwa na wasiofaa katika ULIMWENGU WA JUZI kupewa MIMBA.

Leo,
..... wa leo wadai WA TAIFA LA KESHO wachezea mikuki kama vile MIBA

-Umesahau wa DUNIA YA JUZI alionya wa DUNIA YA JANA wasichezee MIBA
......ILI dume zima JUZI lisije pata MIMBA?

----------_____________________________---------------------

Nawaza tu MKUU!
Swali:

  • Kama ya zamani ni dhahabu , tunaongelea zamani ya babu , baba au ya mjukuu wako?
  • Unakumbuka NI KIZAZI GANI kilianzisha kulaumu vijana wa siku hizi wameharibika kwa kuvaa PEKOSI?


Au ngojea tushauriwe KUFIKIRI TOFAUTI katika THINK DIFFERENT



Ingawa kuna wasio kuamini mpaka watafikiria KUKUNUSA maeneo kama....(Usisikilize kama mtoto au utakwazika)...


Au ngojea tu MANU DIBANGO arudishe USTAARABU kijiweni kwa kuzungumzaNASI kwa VIPULIZO....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP