Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mpe POLE aliyepona ! Karudi TU kujiandaa KUUGUA tena.

>> Tuesday, December 16, 2008

Kuna waliokufa kabla ya kuugua kama vipele vya mkojo chini ya nepi sio ugonjwa.

Aliyepona ataugua tu tena kama hata kufa baadaye kidogo ya kupona.
Na...
...staili ya kujiandaa kuugua tena ni kupona.

Wakati unakikohozi yakiongezeka mafua kinachoendelea kinajulikana kama ; wewe mgonjwa tu.

Na kama huumwi mguu mzima , MAUMIVU ya KUCHA yanatosha kukukosesha usingizi zaidi ya asumbuaye usingizi wako kwa KUKOROMA au kujamba.

Swali:

  • Unauhakika umepona wakati waliopona kila siku wanasogelea kifo kama SISI wenye bahati ya kuugua?
Lakini...
...labda njaa ni ugonjwa tukiamua kutafsiri chakula kuwa ni TIBA ya njaa.

Naacha!
Nawaza tu hapa MKUU!
Ngojea Bob Marley azungumzie....STIFF NECKED FOOLS


Au Biggie Smalls a HYPNOTIZE

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP