Hivi NI TATIZO kwa mwenye PENGO , kujivunia PENGO kwa kuliita pengo MWANYA?
>> Saturday, December 20, 2008
Kama huna, cha kupoteza HUNA.
......Labda  pengo ni zuri kama mwanya ikiwa jino hUNA.
Kama huna , ulichonacho ni uwezo wa kuwa na ambacho hUNA,
...ingawa labda ukiwa huna una SUNA.
Tatizo lakujazia ambacho huna,
..kuna wanunuao koroboi ingawa SI KWELI  umeme hakUNA.
Mwenye pengo si kweli meno yote  hUNA,
.... na waweza kula nyama ingawa kuna wadaioUNA PENGO na   mwanya hUNA.
-Mwanya  ni nini , kama si ukubwa wa pengo ambapo jino HUNA?
Na....
Mfurahia mwanya labda ni kweli  mapengo hana
Na....
Aridhikaye na mapengo,
.... ana meno ya kutafunia kigumu na labda  ambacho huna.
-Nini  kikuonyeshacho nani kibogoyo ,wakati chako cha kutafuna na meno yako HUNA?
-Kama una mapengo na mwanya, nini huna kama wenye meno watafunavyo cha kujivunia hakUNA?
---------------------_______________-----------------------
Nawaza tu Mkuu!
Tupumzike na NANKO katika LUCKY U
Au tu BASCOM X aje na - Eyes On The Prize
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment