Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda SIRI ya utajiri ni UBAHIRI wa KUNYA!

>> Friday, December 12, 2008

Utatajirika kama unaingiza zaidi ya kutoa.

Swali:

  • Si inajulikana?

Lakini....
...unaweza ukaota KITAMBI kwa uvivu wa kutoa HAJA NZITO.

Kujilimbikizia GUNIA ni UDHAIFU ikiwa KIBABA cha kumbikumbi kingeua nyege mshindo ya embe bolibo na pia MAHITAJI ya WAHITAJI.

Utajiri wa kujirundikia matusi hata kama tusi moja lingetosha, matusi au lugha chafu inaweza isimuumize mlengwa wala kumkwaza ustadhi na mlokole ,ikiwa tusi lenyewe halina UTAJIRI wakulenga UDHAIFU wa mlengwa katika tusi.

Swali:
  • Umuitaye tajiri KAJILIMBIKIZIA nini?

Kama unapata uhitajicho , huhitaji zaidi.
Kama hujazidisha uhitajicho, wewe si tajiri.
AU....
....zidisha TU uvimbiwe, kama kwako ni UJANJA!

NAACHA!
Hebu tuangalie ya aliyechoka kuzinguka nakuamua kujitengenezea MCHUMBA....


Au tu Diana Ross na Michael Jackson watukumbushe ya UPSIDE DOWN

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP