Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

STAIL I ya KUMPIGA mke wako KAMA sio WAKE ,bila kumpa MIMBA.

>> Sunday, December 07, 2008

Ni kweli huwa kuna vita ndani ya nyumba hata kama ni ya maneno.

Swali:

  • Hivi neno MIMBA sio TUSI?
  • Nani kasema binadamu mwenye mimba kapewa hiyo mimba?


MPIGE busu, kama unaamini busu linapigika.

Labda ....
...ni kweli hukumbuki kwanini ulimpenda au BADO unamPENDA kama nyanya MSHUMAA.



Labda....
....unampenda zaidi ya hausigeli kama tu ampendavyo hausiboi.

JITAHIDI kumpa DENDA.
Swali:
  • Si bado unaamini anapenda MATE?
Labda...
....kama unajitahidi kukumbuka penzi , PENZI limesha haribika hilo.

JITAhidi lakiNI!

Swali:
  • Hivi umpendaye inabidi umkumbushe UNAMPENDA?
  • Hivi hausiboi au hausigeli kwa lugha fulani INAWEZEKANA maana yake ni LIMTU lililopo NYUMBANI?

Ni kweli lakini kama inawezekana KAMA kuna UKWELI , jina LA SURA ya uke au UUME wa MKE, Bagamoyo au labda hata JAPAN, ni MATUSI.


Mke wa mtu labda ni MWANAMME mwenye UUME lakini!


NAACHA MKUU!

Siku njema!

Tulia na NO DOUBT walete za KUKAA KIMYA katika za DON'T SPEAK



AU tu LADY SAW aongelee Uzuri wa SURA ya KITU..... (usisikilize kama kuna vitu ni matusi kwako)



Asanteni wadau wote !
Asanteni spesho kwa wale ambao hamkunitenga JUZI YA JANA ambao baadhi mko katika picha zangu baadhi hizi......

Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:01 am  

Simon hizo bia mbona mwenzako umeninyima:-)

Simon Kitururu 8:17 am  

@Yasinta:Nimekuhifadhi kadhaa Dada Yasinta! Au nikunywee nini?:-)

Yasinta Ngonyani 9:44 am  

Fanya hivyo kwani itakuwa hakuna shida, yaani uninywee. Kazi kweli kweli. Kazi nzuri Simon endelea hivyox2

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP