Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KWA nini MIMI?

>> Tuesday, December 09, 2008

Kwa sababu ni WEWE,
.....wengine tupo lakini mwenye uhakika ni WEWE.

Wengine ni msaada TU wa wewe kuelewa WEWE.

Tumeshawahi kuungua kama WEWE,
...ingawa kumbukumbu si sawa na ujisikiavyo sasa hivi WEWE.

Adaiye anajua ujisikiavyo wewe,
...anakutuliza usipate kiWEWE.

Labda sukari ni tamu Nairobi kama Kisarawe,
....kama mwenye ulimi na muonjaji ni WEWE.

Ajuaye mwewe ananjaa ni mwewe,
....na profesa wa ya ujisiakiavyo wewe ni WEWE.
----------------------------------------------------------------------------------------
Naacha!

Hebu tupumzike kwa kushuhudia WAZIRI wa AFYA wa CZECH akipigwa kibao...


Au tu Fatai Rolling Dollar aje na - Allah Na Tu Ba


Basi ngojea tu Das EFX waje na - Baknaffek

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:09 pm  

Simon:-) kazi kwelikweli

Simon Kitururu 12:54 am  

@Yasinta: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP