Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Dr. Asha-Rose Migiro

>> Saturday, January 06, 2007


Hongera!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 10:54 pm  

habari bwana Simon,naomba unisaidi ni jinsi gani ninaweza kupandisha video na picha katika blog yangu pia ninashukuru kwa ukaribisho wako.karibu ujerumani

Simon Kitururu 1:56 am  

kupandisha picha mimi hu click tu kisehemu cha add image.Ni kile ambacho kina alama ya picha cha mwisho wakati ukokatika kuandika post mpya au ukiwa una edit post.Kama unapicha ulizo zi save kwenye file kwenye kompyuta yako basi unaenda tu kwenye ilo file. Video mimi hutumia zaidi youtube. Huwa nazi apload video zangu kwenye youtube.Hapo automatically ninapata codes za ku embed. hizo nazi kopi na kuzipaste kwenye ukurasa naoandika.Thats it!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP