Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Haya tena Mwaka ndio umeanza!

>> Monday, January 01, 2007


Nilifurahi kukutana na washikaji kutoka mabara yote duniani jana. Naombea siku moja dunia hii iwe kijiji ambacho mtu mweusi hateseki kwa sababu ya rangi yake.
Naweka baadhi ya picha za washikaji niliobadili nao mwaka wa kirumi jana.Lakini kabla ya hilo unawakumbuka Arrested Development?Unakumbuka sisi ni binadamu tu! Uwe mjanja usiwe siku moja uta ....... tu!



Kutoka Marekani Eugene Darby ....
Photobucket - Video and Image Hosting

Hapa chini Bobby Culture akiwa kazini....
Photobucket - Video and Image Hosting

Bobby kutoka Jamaika na mimi...
Photobucket - Video and Image Hosting
Msichana Ninja ajulikanaye kwa jina SASA...
Photobucket - Video and Image Hosting

Dj Natty Fruit akiwa kazini...
Photobucket - Video and Image Hosting

Mzee Abdulkarim na Aliko wakiwasilisha Afrika Mashariki...
Photobucket - Video and Image Hosting

Raymond au kwa jina jingine Mkuu wa Kikao, mimi na Biyamungu
Photobucket - Video and Image Hosting
Mzee Mago akiwa na Mzee Watts
Photobucket - Video and Image Hosting
Mzee Ben akiwa na Mkuu wa Kikao.....
Photobucket - Video and Image Hosting

Mzee Aliko akiwa amezungukwa na mataifa.....
Photobucket - Video and Image Hosting

Kutoka Afrika Magharibi Mzee Mudu na Mbaye...
Photobucket - Video and Image Hosting
Haya tena tufurahi !Baadaye!

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 10:24 pm  

Heri ya Mwaka Mpya! Naona huko Helsinki mliukaribisha mwaka mpya kwa staili nzuri! Vijana wamependeza katika hizo picha

mwandani 7:28 am  

Haya, bebeni majambia ya samurai mkabiliane vizuri na maninja.

Salamu za mwaka mpya kwa bobby (na mshikaji wake dread) na natty na waswahili wote - nakumbuka global bar...

Anonymous 5:25 pm  

Asante kwa picha za mwaka mpya wa kalenda ya Kirumi, Simon. Naona mambo yalifana hapo. Bado twasubiri zaidi kuhusu lile onyesho la sanaa ulilohudhuria. Unakumbuka?

Mija Shija Sayi 12:08 am  

Kitururu asante kwa picha maana nina miaka sijamtia Aliko machoni..msalimie.

Halafu lile onyesho lao ulilotupostia kusema kweli ni la kukata na shoka, kila mara huwa narudia kulitizama. Safi sana.

Simon Kitururu 7:37 pm  

Ndesanjo,nilishindwa kulipandisha hapa baada ya kufahamishwa kuwa kutokana na sheria ambazo Sibelius Akademi inafuata katika kutunza haki za sanaa inazoziendesha.Lakini kazi inaonekana pale kwenye kurasa yao.Ila mimi bado napata taabu mara nyingine kufungua na media player.Aliko ukipita hapa tuelezee zaidi nini kinaendelea

Simon Kitururu 10:19 pm  

Mwandani salamu kwa Bobby zimefika

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP