Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Heri Ya Krismasi ya Kalenda ya Julian!

>> Sunday, January 07, 2007

Haya tena tufurahie Krismasi ya Kalenda ya Julian.Siku kumi na tatu baada ya Krismasi ya kirumi leo tarehe saba vifijo na vigelegele.Duh Nimesahau, kumbe vifijo na vigelegele ni mambo yetu sisi waafrika kwenye krismasi zetu za kiafrika !Au niseme kwenye sherehe zetu za kiafrika?

NITAWATANGAZIA TAREHE YA KRISMASI YA KALENDA YA SIMON KITURURU HIVI KARIBUNI.

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 7:42 pm  

Twasubiri tarehe hiyo mzee Simon! Huenda hiyo krisimasi yako ikawa na maana kuliko hii ya mkumbo. na pengine nikajiunga nawe kuisherehekea.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP