Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi Masista wao hawataki ku..........!

>> Thursday, January 18, 2007



Siku hizi ni kawaida kusikia mapadri na maaskofu wakitaka waruhusiwe kuoa. Hivi mbona sisikii masista wakitaka ku......!

Napenda GADO awakilishavyo jambo hili.

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 2:31 pm  

Haha haha haaaa! Sasa inabidi Wakatoliki wafanye maarifa ya kuokoa jahazi. vinginevyo habari tunazoendelea kuzisika hazitakwisha. Leo faza kabaka. Kesho. Faza katia mimba. Hujakaa sawa faza kalawiti!

Ifike mahala ieleweke kwamba hiki kifungo kimewazidi mabro!

Simon Kitururu 6:47 am  

kweli babisa Bwaya

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP