Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nina Ndoto!-Martin Luther King Jr

>> Monday, January 15, 2007

Inasikitisha kuwa tokea Martin Luther King Jr afariki mpaka leo hii siku rasmi ya kumkumbuka, hali haijabadilika sana.Sina cha zaidi ya kumuachia mwenyewe aelezee ndoto yake......


Kazi bado tunayo!
Lakini ninafaraja moyoni kwasababu naamini kuna vijana wengi weusi na wakiafrika ambao wanauwezo wakuendeleza kazi hii aliyoiacha Martin Luther King Jr, wapo.
Ingawa watu wengi huwa wanaiunganisha ndoto yake na Wamarekani weusi tu, wanaiunganisha na Marekani pekee, lakini tatizo alilokuwa analipigania linaunganisha haki za watu wote weusi.

Mimi na Nina Simone tunaamini vijana weusi wenye uwezo wapo, tupo.
Au Nina Simone anasemaje?.....

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 9:23 pm  

Habari kaka.
Angalia sasa hivi blogu yangu kama lile tatizo la rangi kama bado lipo.Nipo nafanya marekebisho kidogo nataka kujua kama bado lipo nifanye nini.

Kazi njema

Anonymous 6:01 am  

Mzee Simon,all i see is faces no changes(2PAC SHAKUR.

Anonymous 1:37 pm  

Keep up the good work.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP