Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unakumbuka Enzi za Utumwa wa Mtu Mweusi?

>> Thursday, January 11, 2007


Mimi nisikufiche , kwa muda mrefu nilikuwa naamini kuwa utumwa ni jambo lililopita enzi hizo na wala halinihusu mpaka nilipogundua kuwa bado naishi katika enzi za utumwa.
Ingawa utumwa wa kimawazo ndio umetawala lakini utumwa uleule unaosemekana ulifutwa bado upo.

Watu weusi hata ambao wanadhani hawakuishi utumwani tumeathiriwa na tunazidi kuathiriwa na utumwa.Kimawazo, kiakili na ki kona zote zimgusazo mtu mweusi.UNABISHA!
Dondoo:
Je , wewe unadhani uko tayari kununua mtu kwa shilingi ngapi?
Hapa siongelei sehemu yake ya mwili.

Namuachia Burning Spear ambaye anajaribu sana kukumbusha watu kuhusu swala hili na .....

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 9:44 am  

Mzee Simon,unapozungumzia utumwa unanikumbusha mambo mengi sana.

Vipi YOUTUBE imefungiwa nini?hatupati youtube.

Simon Kitururu 2:04 pm  

@Luihamu:mimi naipata

luihamu 9:05 am  

Mzee Simon,mimi hapa sipati youtube then katika blogu yako haionekani youtube kuna space tu.Nifanye nini?

Simon Kitururu 2:58 pm  

Sijui kwanini wewe huipati. Mimi kila nikiingia kwenye net hua nakuta poa tu

Jeff Msangi 10:56 pm  

Simon,
Takwimu za kimataifa bado zinaonyesha kwamba utumwa ungalipo na bado unaathiri maisha ya mamilioni ya wanadamu ulimwenguni.Nchi za Asia na zile za magharibi mwa Afrika zinaongoza ingawa hata kule kwetu utumwa bado ungalipo.

Tatizo lingine linatokana na tofauti za tafsiri ya neno "utumwa".

Simon Kitururu 11:30 pm  

Ni kweli kabisa Jeff, kunatatizo la tafsiri ya Utumwa

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP