Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jana-Feelin Irie!

>> Saturday, January 20, 2007


Duh , kumbe sio sama taim!Hivi Mwandani huko ni sama eeh?


Mimi na T.I

















Mimi na Chacha







Mimi na Biyamungu







...na Mimi






Mimi na......









Lakini hivi....




Johan na Raymond aka Mkuu wa kikao




Deo







T.I na Biyamungu









Kenya na Tanzania




Martin, Allen na Biyamungu






Lakini bado.......

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 8:52 pm  

Mkuu mbona umetubania majina ya akina dada hao.

Anonymous 1:15 am  

Tutajia majina. Acha ubaya!

Aisee, kiungo kile nitabadili. Asante kwa kunishtua.

mwandani 5:06 am  

matawi ya chini huku ni kiangazi, miendo ya sentigredi 35-43. ikiongezeka na mvua basi inakuwa nyevunyevu ya aina yake, mwili unanasa kama umepaka asali.

Naona mnautumia vizuri wakati wa baridi kwenye majumba ya starehe. pengine masingo mnanufaika zaidi.

Anonymous 8:24 am  

Mzee Simon kichwa cha habari FEELIN IRIE.Jina na aina ya starehe ni tofauti kabisa,wakati unasema Feelin Irie ni kutukuza Jah.Sasa katika picha naona vinywaji nashindwa kuelewa.Bless IandI.

Anonymous 9:50 am  

Naona upo na vijana wako...!

Simon Kitururu 11:57 am  

@Rasta Luihamu. Feelin Irie haihusiani na Jah. Ni lugha tu ,ina maanisha kujisikia vizuri tu!Luhiamu wewe mdini mimi sio.
@Egdio, Ndesanjo.... ni jina au?:-)
@Mwandani. Nakuonea wivu uko kwenye joto.Lakini masingo unajua ndio wenye tabu!
@Kibunango.Mimi ndio kijana wao

Anonymous 6:42 pm  

Jina tu ndugu yetu! Labda na anuani pia! Acha ubaya.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP