Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umekumbuka kumshukuru Mama!

>> Thursday, January 11, 2007

Naamini kuna mambo mengine kuhusu wewe anayajua mama yako tu!
Labda kwako si muhimu kumshukuru mama yako, lakini kwangu ni muhimu.
ASANTE MAMA!

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mjengwa 4:56 am  

Naam Kitururu!
Hakika umenena, tuna lazima ya kufanya hivyo.

luihamu 9:41 am  

Kweli mzee Simon,hakuna binadamu kama MAMA sana sana MAMA AFRIKA,Malkia Mweusi.Mama ni nguzo katika maisha ya binadamu yeyote.

Samahani Mzee Simon,unazungumzia mama mzazi au mama wa kambo?
kama ni mama wa kambo mmmmmmm.

Simon Kitururu 2:03 pm  

@Luihamu: Namzungumzi mama ambaye ni muhimu kwako ambaye kuna mambo anajua yeye tu!

Simon Kitururu 4:36 pm  

Rasta Luihamu nilidhani Wimbo wa Sizzla ungekupa dondoo ni mama gani ninamuongelea.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP