Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Blogu Iko Gereji!

>> Thursday, August 09, 2007

Samahani Wadau wa Blogu hii!

Powered by www.myfabrik.com


Blogu inafanyiwa ukarabati kwa muda!
Pia niko safarini kwa muda,kwa hiyo sitatokea hapa kijiweni kama kawaida yangu kwa masiku kadhaaa!

Wakati unanisubiri pumzika,cheka au burudika na wimbo huu wa Michael Jackson wa India siunakumbuka Thriller?

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 10:51 am  

Tupo pamoja.

Anonymous 7:23 pm  

Nimenyanyua mikono. Umeipamba vizuri sana. Inavutia kutembelea na kusoma. Nimependa sana kile kinyago pale juu. Chaguo zuri sana. Pia huko kwenye pembe kama kumekatwakatwa hivi. Na mchanganyiko wa rangi. Kuna ufundi mzuri umetumia hapo.

Simon Kitururu 11:59 pm  

@Egdio:Nashukuru kuwa nina mdau ambaye hanitupi:-)
@Ndesanjo: Natamani kama ningekuwa nimimi niliyejitengenezea hii kitu!Ni imajinesheni za mtu mwingine aliyefanya blogu ionekane hivi.Na mimi nakubaliana naye kwa chaguo lakunitengenezea blogu yangu.
Asante Mdau wangu kwa ukarabati wa blogu yangu!

luihamu 7:36 am  

HAYA MZEE KITURURU,KARIBU TENA.

chemshabongo 8:55 am  

kaka blog inapendeza, safarini ujarudi nimemis mikasa yako yenye tungo za aina yake uwaga unanipeleka alafu unanipa kiburudisho ni blog ya aina yake na kwa muda blog ikiwa gereji umetuachia michael jackson kwa kweli amenipa company ya kutosha nazani utarudi hewani sasa.

Simon Kitururu 7:47 am  

@Chemshabongo:Nashukuru unakipenda kijiwe hiki.Nimerudi!Kijiwe chako nakipenda sana pia.Nafikiri umenistukia pale mara nyingi.AU?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP