Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Stela Wangu.....!Saikoloji ya kumdaka Mwanadada Apendaye Mbwa!

>> Saturday, August 04, 2007

Katika neti, washikaji wangu wamekumbwa na kipupwe cha kuongelea siri nane wafichazo na sasa Maswala ya Stela ambaye nimeshindwa kuchagua mmoja wa kubobea kujulisha ku.....
Stela halafu stela
Duh!
Stela...

Kabla sijasema ....Bilal aongee...

Nilimpenda mwana dada fulani ambaye na chagua jina Zubeda, ingawa wadau wangu(Ndesanjo, Rasta , Mwenyemacho, na..... hapa wanapenda jina la Stela.
Nilikuwa na miaka kumi tu, mtoto mdogo, na nataniwa lakini napenda....
Huyu mwanadada alinifanya nizidishe kucheza nguti .Si unajua mchezo wa gololi?
Huyu mwana dada alini sabababisha niwe na cheza mitaa ya mbali na nako ishi.
Kipindi hiki pia nilimpenda sana Anna Gama. Ndio... Ni Gama ambaye ni........wa CCCCCCM. Kipindi hicho alikuwa Mkuu wa mkoa wa Ruvuma.Lakini Anna hakujua hicho kitu.
Duh!
Kuna Salome pia alinizingua....
Duh!
Hivi Raulensi Gama ambaye alikuwa mshikaji kipindi hicho tulivyokuwa watoto yuko wapi?

Ngojea ni wapumzishe kwa picha za juzijuzi,leoleo ......

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Zubeda !
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Zubeda eeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Samahani kidogo kwa kutoandika kwa muda. Llakini .. kabla sija hata andika ....Mpate Dave ambaye ananichekesha sasa hivi...

Tuendeleee....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Teddy

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Teddy bear!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mr Dj
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ze Zubeda
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ze Zubedas
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kenya , Tanzania ,Kenya
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Hivi si binamu ni ndugu?
Mpate binamu yake ambaye ni Binamu wa Buju Banton..

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Stesheni ya treni Copenihageni,Deni Maki
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Maswala ya boti la kitalii..
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Huwezi kufika deni bila kumuona huyu sanamu

Duh!
Turudi chobisi...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko eeeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Al-U na Mimi

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Janet
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Erick
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Simon ..Mzungu aliyejiingiza...Leonardo(Columbia)
duh!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Prince Badara

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Prince eeh!
Nisitake kuficha kuwa Stela wangu alinizingua , na nitamsimulia zaid baadayei. Natamani ningemzingua kama Diana anavyo sema hapa akisaidiwa na Michael.

DUH!

Nili pata kumzubalia Stela wangu pale Songea aliyeitwa Fatuma, ambaye alinisaidia katika utoto nichapwe mara ya mwisho na mara ya kwanza na mama yangu. Nilitembea bila viatu, dada yangu(Joyce ) aka ni semelea nyumbani ,kitu ambacho mpaka leo sielewi kwanini mama yangu aka chagua kunichapa kwa hilo.
Duh!
Ilikua mwaka 1985 na ilikuwa mara ya mwisho kuchapwa maishani mwangu.
Duh
Kabla ya picha Mpate Nguza...

Stela wa mwisho ambaye nafikiri ni yule aliye fanikiwa kuniumiza roho.....
alitokea Morogoro. Huyu nilimpenda na alifanikisha mambo kibao ambayo tulikuwa tunaibia. Lakini alikuwa anapenda waaarabu na wahindi .Niligundua pale alipokua anaiba mbele ya macho yangu na kukana.

Duh!
Lakini washikaji wangu na pamoja na ujanja wangu , akafanikiwa kuniambia kuwa mimi nishai. Alifanikiwa kupata futari ya ngono na jamaa wengine. Nisikufiche nilifurahi kidogo nilipo sikia awapendao mambo yao ovyo..Lakini yale maswala ya kufanya.....matusi na mambo mengine sijui alijifunzia wapi, kwa sababu .....
Duh!
Picha baadhi za juma ileeeeeeeeeeeeeee nazo ziangalia sasa..Zinikumbushazo siku niliyofurahi kinamna....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Vibe
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Katika kuwepo...
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Dereva..
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Usafiri..

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Malizia na Beenie Man

Ndesanjo ! Duh!
Kweli na Stela wengi katika fikira:-) NaNitajaribu kumnukuu mmoja mmoja kirefu siku nyingine....au baadaye...

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 12:40 pm  

DUH!!!! s.

Simon Kitururu 1:40 pm  

@Anony:Duh!:-)

Egidio Ndabagoye 8:10 pm  

Daah! Kazi kweli kweli.Ngoja nirudie tena kusoma

Anonymous 9:48 am  

Si nilikwambia lazima akina Stela walikuwa ni wengi enzi zako? Yaani ulianza ukiwa na miaka kumi?! Lahaula! Fatuma na akina Anna wako wapi siku hizi?
Umenikumbusha kuhusu dada zetu wanaopendaga waarabu na wahindi.

Simon Kitururu 12:06 pm  

@Egdio:Kazi kweli kweli Mkuu!
@Ndesanjo: Anna, fatuma sijui wako wapi:-(
Kuna wadada fulni huwezi kuwaondoa katika mapenzi yao kwa Waarabu na Wahindi. Lakini poa tu ingwa natatizo kidogo na Wahindi bongo katika swala la mapenzi. Huwa hawaturuhusu sana sisi wanaume weusi anga zao.
Hawa Stela aka Zubeda nahisi nilianza mapema ndio maana napata shida nao.
Lakini kama kuna Zubeda anipendaye poa tu! :-)

luihamu 12:21 pm  

Mzee Simon,hapa naona hutaki kuwa muwazi,ngoja nisome tena.

Simon Kitururu 1:20 pm  

@Rasta Luihamu:Duh!

Aliko 2:52 pm  

Heheheeehhee
Huyu STELLA huyu aaah we acha tuu mie nilimsubiri tangu tunamaliza ELO WAI maana yake ly yaani last year std seven kwa wasomaji vijana.. nikajitahidi mpaka Form four sitaki gelofrendi wala nini namsubiri STEEEELLLA.DUH!!namquote kitururu, hehehe siku ya siku STELLLAAA stella andai muda wote huo alikua nakamjaama pale RUVU SEC. DAAAAH.ofkozi na mimi kule ihanja sec nilisikuwa muaminifu hivyo...
ZE ZUBEDAS:)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP