Kwa Hawala Bunduki AK 47, POKEA Busu!
>> Monday, August 20, 2007
Bunduki ni kitu cha ajabu ingawa ni kitu tulichozoea!
Bunduki , ni ka kitu kaliko saidia sana sisi Waafrika kutawaliwa.
Lakini bunduki zinatutesa sana sisi binadamu sasa hivi.
PAMOJA na kumu-adimaya huyu Mikhail Kalashnikov ,bado najiuliza sana anajisikiaje kuwa bunduki yake ndio maarufu kwa uuaji sehemu kibao, hasa sehemu sehemu fulani ambazo bado tunajifunza kuwa na uhuru ingawa mpaka sasa tumefanikiwa kutawaliwa kifikira na ki.....
Mpenzi AK 47.....DuH!
Sikiliza kahistoria ka mpenzi hapa kidogo....
Nisikutie majaribuni!
Ngojea nikuache na picha za Washikaji nilizozidaka wiki mwisho hii, kabla hazijapoa...
Powered by www.myfabrik.com
Washikaji walio nitenga!
Wax najua unakaa mbali !Lakini unanitenga!:-)Kevin ,nimefurahi kukudaka , maana unanitenga na picha hutaki:-)Deo, duh, unanitenga lakini siku hizi:-). Dj Ezza, mbona unanitenga?:-) Kuna wadau wangu kama T.I , Byamungu ambao ndio kabisaaaa sijui mko wapi?:-)
Powered by www.myfabrik.com
Washikaji, picha mchanganyiko.
Powered by www.myfabrik.com
Rasta Koneksheni
Powered by www.myfabrik.com
Kenyan Koneksheni
Powered by www.myfabrik.com
Mkuu wa Kikao
Powered by www.myfabrik.com
Dj Ezza!
Powered by www.myfabrik.com
Bonanza The Great
Powered by www.myfabrik.com
Abdulkarim
Powered by www.myfabrik.com
Big Ben!Asante Mkuu ,siku haikuharibika!
Powered by www.myfabrik.com
Pichani ni Allen na Mjomba.Allen hongera kwa kuachana na ukapera! Nimepoteza e-mail yako!Nistue basi!
Powered by www.myfabrik.com
Burudani!
Huduma na burudani
Usitishike!Burudani nyingine zilikuwa hivi...
DUH! Ngojea niache!
Pumzika na Jacob na kundi zima la KASSAV
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment