Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Blogu ina BUGS!

>> Monday, August 20, 2007


Nina shughulikia kutatua tatizo hili. Naona computer yangu na blogu zote zilivamiwa. Computer imepona.Nimeweza kupata data zote zilizo kuwa zimevamiwa na zimesafishwa.Yale maswala ya JUMUWATA yamepona sasa , tutaendelea zaidi.
NAOMBA KWA YEYOTE ANAYEJUA NIFANYEJE KUONDOA HII BUG IFANYAYO WATU WATEMBELEAO BLOGU YANGU WAPATE MATANGAZO YA AJABU AJABU, ANISAIDIE INFO BASI!

SAMAHANI KAMA ULIZINGUKA NA HAYO MATANGAZO YA AJABU AJABU!
Kumbuka kuyafunga tu yakijitokeza wakati uko kijiweni kwako mpaka nitakapo jua dawa yake!Usiache kunitembelea lakini kwa sababu ya tatizo hilo!
DUH!
Burudika na Jocelyne Beroard wa kassav


8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 1:51 pm  

Matangazo hayo kwenye blogu yako mimi siyapati.
Lakini nimekuwa naona matangazo ya ajabu ajabu kwenye baadhi ya tovuti ambayo hayahusiki na tovuti husika.

KakaTrio 5:53 pm  

simon hebu angalia kama hii itakusaidia http://help.blogger.com/bin/answer.py?answer=69845&query=ads&topic=&type=f

KakaTrio 5:54 pm  

naona ntakukwa nimekosea kukopi linki ya awali hii hapa ndio imekamilika http://help.blogger.com/bin/search.py?topic=&query=ads&type=f&start=10

Simon Kitururu 6:50 pm  

@Egdio:Mimi siyapatati kwenye komputa yangu ila watu kibao wamenistua kuwa wanapata Pop Ups wakinitembelea.
@Maricha: Asante Mkuu, nitaipitia hiyo link na kufanyia kazi.

KakaTrio 6:28 pm  

Simon, nimekutembelea leo lakini naona bado wadudu wapo apa wanatuaribia uhondo, Jitahidi tahidi uwamwagie hata thiodani waondoke ili uwaue

Simon Kitururu 12:22 am  

@Maricha:Nimejaribu kufuata wanielekezavyo lakini wapi!Bado nahangaika na haka kaugonjwa!

luihamu 7:09 am  

Katibu,
kwangu huku nikifungua blogu yako inakuwa na kiza kwanza then mwanga unatokea lakini sijapata kuona matangazo uliyosema.

Natumia sana blogu yako kusoma magazeti mbali mbali.kijiwe kimepooza sana.

chemshabongo 1:28 pm  

kaka vipi hao wadudu wamekufanya ususe kabisa tangu 20th naona kimyaaaa!!!! kwangu kijiwe akijaaribika ila kuna wakati inakuwa kama inastuck, embu jaribu madawa ya MARICHA yanaweza kukuponya na bugs izo,

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP