Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Che , Aliko na...... Mwakanjuki!POLENI!

>> Wednesday, August 15, 2007


Pichani ni Waziri Mkuu akimtembelea Mzee Mwakanjuki aliye hospitali, ambaye ni Baba ya marafiki zangu.
Picha kwa hisani ya ISSA MICHUZI!

Powered by www.myfabrik.com

Pichani ni Aliko ambaye ni Rafiki, Mshikaji , Ndugu na .....Pole sana!...Che, vipi London? Naona umenitenga.Pole sana!
Nawaacha na wimbo fulani wa SUPERCAT ambao sitaki kuuhusisha na hauhusiani na tukio la Mzee ambalo ni la kuhuzunisha!

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Aliko 1:03 pm  

Ras kitu Asante najua mawazoni hulipendi hilo jina lakini kumbuka tulivyokua wadogo ukilichukia tuu jina basi washikaji wanakandamizia hapohapo

Aliko 1:03 pm  
This comment has been removed by the author.
luihamu 2:30 pm  

Katibu naomba ufunguwe kurasa ya JUMUWATA THEN UTOE TAMKO RASMI KAMA KATIBU,NAOMBA USIONYESHE UPENDELEO.

Simon Kitururu 2:49 pm  

Nimpendelee nani?Kumbuka kuwa maswala ya JUMUWATA yanataka maamuzi ya viongozi wote kwa sasa. Si kila mtu kipekee. Ndio Maana katiba muhimu itaruhusu pointi nzuri zilenge lengo.

Kibunango 10:48 pm  

Simon sijakutenga... ila ni Mashaka ya kupata sehemu ya kuweza kutumia mtandao bila mashaka huko UK ulikuwa ni mgumu sana...

Simon Kitururu 12:50 pm  

@kIBUNANGO:Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP